Thursday, January 6, 2011

STEVEN WALTER MGENI

Huyo ni Steven Walter Mgeni akiwa Amepumzika nje ya Nyumba yao ilyoko katika Kijiji Cha Magingo Wilaya ya Songea Vijijini Mnamo mwaka 2005 ikiwa ni Baada tu ya kuhitimu kidato cha Nne na pindi anapo wasili kijijini hapo Steven Hujishughulisha na shughuli za kilimo

Wednesday, January 5, 2011

STEVEN WALTER MGENI

Upande wa kulia ni Steven Walter Mgeni akiwa na Rafiki yake Charles Chambika Wakiwa katika eneo la Shule ya secondary ya Hagafilo iliyoko Wilayani Njombe na hapo walikuwa katika eneo la karakana ya Shule Hiyo.Hapo ilikuwa ni Mwaka 2003 wote wakiwa kidato cha tatu

Sunday, January 2, 2011


Steven Walter Mgeni akiwa nje ya Chuo Cha EASY TECH COMPUTER TRAINING CENTRE kilichopo Mkoani Ruvuma.